Tuesday, August 25, 2009

Patchwork accessories ( mapambo ya viraka)Mtindo wa viraka viraka ni mtindo ambao ulikuwa juu sana katika miaka iliyo pita hasa ya themanini lakini hii leo nimeona bora tumumbushane mana kwa mtazamo wangu naona pia unaweza kupanda muda wowote

No comments:

Post a Comment