Saturday, October 12, 2013

First Lady Salma Kikwete ndani ya Mayor's ball kuchangia madawati

Mama Kikwete akipasha kabla ya kuingia mtaani kwa ajili ya matembezi ya kuhamasisha uchangiaji madawati kwa ajili ya shule za manispaa ya Ilala, Pembeni yake yake ni Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa ambaye ndiye mwenyeji wa shughuli hiyo.
Bi mkubwa aliendelea hivii
Baada ya hapo ikawa ni kujipongeza
Muda mfupi baadaye Matembezi yalianza. Ilikuwa ni kutoka  viwanja vya Mnazi Mmoja hadi kwenye shule ya Bunge jijini Dar es Salaam
Bi mkubwa akiwakilisha wanawake wa Tanzania

Mama Salma Kikwete ndani ya Shule ya msingi Bunge baada ya kuhitimisha matembezi hayo ya hisani. Hongera sana mama.

Thursday, September 26, 2013

Make Up Make UP  Make Up

Chagua muonekano na ujaribu kulingana na aina ya ngozi yako

Get the Look:

Omotola Jelade ndani ya Nollywood show  iliyomalizika mjini LondonAgban afungua  ‘showroom ya Denim’ mjini LagosLAGOS, Nigeria
Miss World 2001 Agbani Darego kutoka nchini Nigeria amezindua  denim line  inayofahamika kama – AD.
Tukio hilo lilifanyika jumatano iliyopita ambapo alipata wasaa wa kuonyesha nmitindo kadhaa ya Denim
Kati event hiyo  Agbani alitoka bomba akiwa na pale  AD v-neckline blouse, AD jeans  na wedges za njano. Kama vile haitoshi alijipigilia na herein za almas na make up iliyotulia.
Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau kibao wa mambo ya mitindo nchini humo wakiwamo  Elohor Aisien, blogger/entrepreneur Noble Igwe, stylist Ezinne Chinkata, Glam Networks CEO Bola Bolagun, media personality Jumai Shaba na fashion blogger Adaku Ufere.
  Akizungumzia kuhusu AD,  Agbani  alisema kampuni yake itakuwa ikitengeneza bidhaa mbalimbali za Denim kama vile suruali, mikoba, mashati ya zip, fulana na tunics. Uzinduzi mkubwa zaidi utafanyika mwezi ujao.