Tuesday, January 5, 2010

Dah! ni kitu cha LV mwanakwetu!


Ally Remtulah

Namzimia kichizi huyu mtu, amekuwa mahiri katika kubuni mavazi . Mbali na ubunifu wake Remtulah pia ni fashionista hebu mcheki akiwa katika pamba tofauti tofauti....................

Friday, January 1, 2010

Mambo ya turquoise
Rangi ya dunia kwa mwaka 2010 ni 'Turquoise'

Kwa mujibu wa kampuni ya Panton Inc. yenye maskani yake nchini Marekani. Tarquouse ndio rangi kuu kwa mwaka huu, hususan katika sula zima la Fashion.
Unaweza kuitumia vyovyote vile na ukatoka bomba alimuradi uwe makini katika matumizi yako.
Inapendeza kama accessories, kwenye mavazi yako mengine n.k
Hizi hapa ni rangi za miaka mitatu iliyopita
2007-Chill pepper
2008- Blue Iris
2009-Mimosa


Nani kasema kanga haishonwi swimming coast


Ni kazi yake Chichia, wadau mpoooooooooo?