Saturday, January 29, 2011

Mai fashions: Kilimanjaro Hotel Kempinsky Showcase

Mai fashions: Kilimanjaro Hotel Kempinsky Showcase

Kilimanjaro Hotel Kempinsky Showcase

Ilikuwa shoo ya nguvu. Wabunifu wa mavazi Diana Magesa na Caroline Uliwa walikutana katika jukwaa moja na kuonyesha kazi zao.

Shoo hiyo ilifanyika sanjari na maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina. Pamoja nao pia alikuwepo msanii mchoraji Masoud Kibwana. Naye alionyesha kazi zake.

Wasaanii mbalimbali kutoka nchini China walikuwepo kwa ajili ya kuwafundisha watanzania tamaduni za kwao. Vinywaji, vyakula na hata muziki wa kichina ulitawala.

Hebu pata picha

Cheki Kazi ya Calorine UliwaKaa tayari kuona Kazi ya Diana Magesa!!!!!!!!!!!!!!