Thursday, August 20, 2009

Butterfly miwani ambayo ipo juu kwa sasa
Pamoja na kutumiwa kama kinga na tiba ya macho, miwani ni miongoni mwa accessory muhimu sana hasa kwa wale wanaoelewa maana ya mitindo.wadau wengi hasa mastaa mbalimbali wamekuwa wakitumia miwani kuboresha muonekano wao kama wanavyoonekana hapo juu.Lakini kwa sasa mtondo wa Butterfly kiasi kwamba wabunifu wengi wamekuwa wakitengeneza aina hiyo

No comments:

Post a Comment