Saturday, October 12, 2013

First Lady Salma Kikwete ndani ya Mayor's ball kuchangia madawati

Mama Kikwete akipasha kabla ya kuingia mtaani kwa ajili ya matembezi ya kuhamasisha uchangiaji madawati kwa ajili ya shule za manispaa ya Ilala, Pembeni yake yake ni Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa ambaye ndiye mwenyeji wa shughuli hiyo.
Bi mkubwa aliendelea hivii
Baada ya hapo ikawa ni kujipongeza
Muda mfupi baadaye Matembezi yalianza. Ilikuwa ni kutoka  viwanja vya Mnazi Mmoja hadi kwenye shule ya Bunge jijini Dar es Salaam
Bi mkubwa akiwakilisha wanawake wa Tanzania

Mama Salma Kikwete ndani ya Shule ya msingi Bunge baada ya kuhitimisha matembezi hayo ya hisani. Hongera sana mama.

No comments:

Post a Comment