Thursday, September 26, 2013



Agban afungua  ‘showroom ya Denim’ mjini Lagos



LAGOS, Nigeria
Miss World 2001 Agbani Darego kutoka nchini Nigeria amezindua  denim line  inayofahamika kama – AD.
Tukio hilo lilifanyika jumatano iliyopita ambapo alipata wasaa wa kuonyesha nmitindo kadhaa ya Denim
Kati event hiyo  Agbani alitoka bomba akiwa na pale  AD v-neckline blouse, AD jeans  na wedges za njano. Kama vile haitoshi alijipigilia na herein za almas na make up iliyotulia.
Tukio hilo lilihudhuriwa na wadau kibao wa mambo ya mitindo nchini humo wakiwamo  Elohor Aisien, blogger/entrepreneur Noble Igwe, stylist Ezinne Chinkata, Glam Networks CEO Bola Bolagun, media personality Jumai Shaba na fashion blogger Adaku Ufere.
  Akizungumzia kuhusu AD,  Agbani  alisema kampuni yake itakuwa ikitengeneza bidhaa mbalimbali za Denim kama vile suruali, mikoba, mashati ya zip, fulana na tunics. Uzinduzi mkubwa zaidi utafanyika mwezi ujao.


No comments:

Post a Comment