Saturday, September 15, 2012

UWT wamkaribisha Dk. Asha Rose Migiro

Ilikuwa mwendo wa Kitenge!!!!!! B2A iliwakilisha vilivyo
Mama Salma akitoa tuzo maalum kwa shujaa wetu Dk. Asha Rose Migiro

Akatunikiwa cheti maalum ....

Kisha akatunukiwa Picha ilichorwa na mwanamke mwenzetu wanawake  OYEEEEEE!

Hiki kilikuwa kitu cha Tanzanite kutoka kwa chama cha wanawake wachimba madini ..... wanawake safiiiiii!!!!

Mwanamke vitengeeeee!!!!!!!! Ilikuwa zawadi yao wanawake wa Zanzibar


Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dar es salaam Mama Madabida akimfuta jasho Dk Migiro

 First Lady alishindwa kuficha hisia zake
Wanawake wenzio wakimpongeza


Ilikuwa full burudani


Shughuli ilitimia haswaaaa!!!!! Shoga yetu, Mama Maria Nyerere ndani ya nyumba

Palikuwa hapatoshi .....!!!!!

My Lady Mheshimiwa Megji aliwakilisha hivi...

No comments:

Post a Comment