Saturday, September 8, 2012

Christine Michael Aula!


 
Mwana mitindowakitanzania Christine Michael Jingu amechaguliwa kuwa kati ya wanamitindo 50 watakaopanda jukwaani kwa ajili ya kuonyesha mavazi kwenye onyesho la Fashion for humanity linalotarajiwa kufanyika Oktoba17 , 2012 jijini New York Marekani.
Onyesho hilo linaloandaliwa na taasisiya United Colors of Fashion (UCOF) litawakutanisha pamoja wanamitindo wapya na wazoefu kutoka katika nchi mbalimbali duniani.  Miongonimwawanamitindohaonipamojana Miranda Kerry na Sessile Lopez.

Onyesho la Fashion for humanity litaongozwana Jan Malan wa Afrika ya kusini ambapo wanamitindo kadhaa wakimataifa wataonyesha kazi zao mpya. Baadhi yao ni pamoja naAmparo Chorda (Hispania), David Tlale( AfrikayaKusini), Carla Silva (Angola) Anya AyoungChee ( Marekani/Trinidad)naParnilleLeschly Halle (Denmark)

Get a copy of today's Mwananchi au tembelea www.mwananchi.co.tz

No comments:

Post a Comment