Friday, January 1, 2010

Rangi ya dunia kwa mwaka 2010 ni 'Turquoise'

Kwa mujibu wa kampuni ya Panton Inc. yenye maskani yake nchini Marekani. Tarquouse ndio rangi kuu kwa mwaka huu, hususan katika sula zima la Fashion.
Unaweza kuitumia vyovyote vile na ukatoka bomba alimuradi uwe makini katika matumizi yako.
Inapendeza kama accessories, kwenye mavazi yako mengine n.k
Hizi hapa ni rangi za miaka mitatu iliyopita
2007-Chill pepper
2008- Blue Iris
2009-Mimosa


No comments:

Post a Comment