Mint green ndivyo wanavyooiita lakini sisi tunaitambua kama kijani kavu. Ipo 'in' kwa sasa. Unaweza kutumia katika mavazi yako ya kawaida na kufanya statement kwenye mavazi yako.
Si hivyo tu, kwa wale wenye harusi hii ni rangi bomba pia. Unaweza kuipangilia na kulipuka vizuri katika siku yako hiyo muhimu. Mpooooo
Kim naye kama kawaida
Pia unaweza kutupia
No comments:
Post a Comment