Nanasi menya kata vipande kiasi cha vikombe 2 vya chai Sukari kikombe 1 Unga wa tangawizi kiasi
Namna ya kutengeneza Mimina nanasi na tia sukari na tangawizi kwenye sufuria iliyoko jikoni Acha vichemke na kuiva, ambapo vitakuwa kama uji mzito Epua na uwache ipowe na baada ya hapo mimina kwenye chupa
No comments:
Post a Comment