Ni shoo ya aina yake iliyofanyika katika magofu ya Mbweni ruins Zanzibar. Ni shoo ya aina yake kwa designer chipokizi Lucky Roberto, ambaye wengi wetu tunamtambua kama super model. Ilikuwa ni Back to Afrika ya nguvu. Yani ilikuwa ful kanga na vitenge hebu cheki hapa
The grand Finale
Lucky Roberto, the designer .... Jamani asanteni kwa kuja
Kwenu wapendwa na wadau wa Beauty by definition. Sikuweza kuwa nanyi kwa kipingi kirefu kutokana na matatizo ya hapa na pale. Lakini kuanzia sasa kama kawaida mtakuwa mkifurahia maswala mbalimbali yahusuyo mitindo urembo n.k