Saturday, January 29, 2011
Kilimanjaro Hotel Kempinsky Showcase
Ilikuwa shoo ya nguvu. Wabunifu wa mavazi Diana Magesa na Caroline Uliwa walikutana katika jukwaa moja na kuonyesha kazi zao.
Shoo hiyo ilifanyika sanjari na maadhimisho ya mwaka mpya wa kichina. Pamoja nao pia alikuwepo msanii mchoraji Masoud Kibwana. Naye alionyesha kazi zake.
Wasaanii mbalimbali kutoka nchini China walikuwepo kwa ajili ya kuwafundisha watanzania tamaduni za kwao. Vinywaji, vyakula na hata muziki wa kichina ulitawala.
Hebu pata picha
Cheki Kazi ya Calorine Uliwa
Kaa tayari kuona Kazi ya Diana Magesa!!!!!!!!!!!!!!

Subscribe to:
Posts (Atom)